Hakuna kitu “kitakachotokea” ikiwa hutotoa TIP, lakini kwa nini uwe mtu wa namna hiyo? Je, unafikiri haupaswi kuwatunza madereva wanaokufikishia chakula chako salama? Hebu fikiria ungalitumia usafiri wako binafsi, ungalichoma mafuta yako, na hata ungalitumia muda wako mwingi kwenye ...Read more
Hakuna kitu “kitakachotokea” ikiwa hutotoa TIP, lakini kwa nini uwe mtu wa namna hiyo? Je, unafikiri haupaswi kuwatunza madereva wanaokufikishia chakula chako salama?
Hebu fikiria ungalitumia usafiri wako binafsi, ungalichoma mafuta yako, na hata ungalitumia muda wako mwingi kwenye foleni kutafuta huduma. Huna marupurupu unayolipwa kufika kule na kurudi (hata mwenye mgahawa hatakupa punguzo au kukwambia aksante), unasimama kwenye foleni ya kaunta za huduma na malipo. Huyu dereva hufanya yote hayo kama vile anavyowanunulia familia yake, na anahakikisha chakula chako kinakufikia kwa wakati kikiwa katika hali nzuri.
Ikiwa hujatoa TIP, hawa madaereva moyoni mwao wanakosa uchangamfu, na huenda usipate oda yako kwa muda unaotarajia. Agiza24 inaweza kumpangia tripu dereva akuletee oda yako baadhi ya madereva huzibatilisha oda baada ya kuona haina TIP, kwa sababu hatuwezi kuona uchambuzi wa nani anapigia nini hadi maagizo yamekamilika. Lakini kwa oda ambazo mteja ametoa TIP ugombaniwa na kila dereva na mara nyingi humfikia mteja ndani ya wakati.
Mfumo wa Agiza24 ukokotoa bei ya usafiri kati ya TZS 1000 hadi TZS3000 (kulingana na umbali kutoka mgahawa hadi kwa mteja) kwa kila “kundi”. Kundi linaweza kuwa hadi oda za wateja 3 kutoka mgahawa. Wakati madereva, kama wasambazaji chakula, wanapoangalia kazi walizoitiwa wanaweza kuona matakwa ya oda pamoja na kiwango fedha cha oda husika. Wanaona ni kutoka mgahawa upi, mteja ni nani na yuko wapi, hesabu ya bidhaa, na maili ngapi kutoka kwa duka hadi kwa mteja. Hii inaonyeshwa na kiasi kinachoitwa “makadirio ya mapato” ambayo ni pamoja na msingi pamoja na TIP iIiyotolewa. Kiasi cha TIP hakihakikishiwa, na wakati mwingine hutegemea%, kwa hivyo inaweza kubadilika. Hata hivyo, huchukua si zaidi ya dakika ishirini kumfikia mteja.
Natambua, waafrika wengi hatuna utamaduni wa kutoa TIP lakini ni muhimu kuiga. Kuna baraka ndani yake!
Read less