Nawezaje kujisajili kama chef? Nnina BBQ point ya pork nzuri Geita mjini
Sign Up to our social questions and Answers Engine to ask questions, answer people’s questions, and connect with other people.
Login to our restaurant business questions & Answers Engine to ask questions answer people’s questions & connect with other people.
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
We want to connect the people who have knowledge to the people who need it, to bring together people with different perspectives so they can understand each other better, and to empower everyone to share their knowledge.
Kuna njia mbili za kujisajili kama Chef ifuatavyo;-
1: Bofya kiunganishi (link) bit.ly/jisajili2 kisha jaza taarifa za jiko lako pamoja na zako binafsi, au
2: Install App ya Agiza24 Partner inayopatikana kwenye PlayStore na AppStore kisha jisajili kupitia App.
Baada ya kujisajili tutapokea taarifa zako na kukuthibitisha (verify) ili uweze kupata access ya kuingia ndani ya mfumo. Baada ya uthibitisho unaweza kufanya mipangilia kwa jinsi unavyotaka restaurant yako ifanye kazi ikiwa ni pamoja na kupakia menu.
Ikiwa unahitaji msaada, tafadhali wasilina nasi kwa namba +255677500045 au +255677500046.